ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Thursday, September 20, 2018

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere kimezama, inadaiwa watu kadhaa wamefariki dunia

Ukara, Ukerewe: Kivuko cha MV Nyerere kimezama, inadaiwa watu kadhaa wamefariki dunia

jamiiforums.com

Sep 20, 2018 3:12 PM

Taarifa nilizozipata haraka sasa hivi ni kuwa watu wengi sana wanahisiwa kufa maji baada ya kivuko kubinuka juu chini, chini juu katika kisiwa cha UKALA wilayani Ukerewe.

====

Kivuko cha MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na kisiwa cha Ukala katika ziwa Victoria kimezama huku taarifa za idadi ya watu waliokuwemo ndani ya kivuko hazijajulikana.

Tazama yote

Fungua Opera News kuona Maoni

Fuata timu ya mpira unayoipenda, matokeo moja kwa moja na matangazo

Ripoti tatizo

177Chukia

COPY SUCCESSlarrybway91

BREAKING NEWZZZ : KIVUKO CHA MV MAGOGONI KIMEKOSA MUELEKEO MAJINI BAADA YA INJINI ZAKE KUSHINDWA KUFANYA KAZI.

Advertisements

Kivuko kikubwa cha Mv. Magogoni kinachofanya safari zake kati ya Kivukoni na Kigamboni jijini Dar es Salaam kimekosa muelekeo majini katika bahari ya Hindi kikiwa na abiria na magari baada ya injini zake kushindwa kufanya kazi.

Abiria tayari wamevaa maboya lakini hali ya wasiwasi imetanda, kwa taarifa zaidi endelea kutembelea blogu yako hii.

Muendelezo, Picha za hali ilivyokuwa baada kivuko kupata hitlafu.

 
Ilikuwa ni mida ya saa nane mchana ambapo Pantoni kubwa ya Mv. Magogoni ikiwa imesheheni abiria ikiwavusha kutokea Posta kuelekea Kigamboni , ilipatwa na wakati mgumu baada ya kushindwa kutia nanga ili iweze kusimama na abiria waweze kushuka..
Tukio hilo ambalo chanzo chake kimetokana na Injini za Pantoni hilo kushindwa kufanya kazi  haikuweza kutia nanga kwa muda wote huo.. na ambapo kulikuwa na upepo mkali sana ambao ulisababisha  Pantoni hiyo kukosa muelekeo na kuanza kuambaa ambaa mpaka maeneo ya Chuo Kikuu cha Mwalimu Nyerere kisha kusukumwa zaidi hadi eneo la bandari ya Zanzibar.
Hata hivyo baada ya hali kuzidikuwa si nzuri walilazimika kuita meli ndogo za uokoaji ambapo meli ya kwanza haikuweza kuvuta pantoni hiyo na kulazimika kuongeza meli nyingine ili iweze kuongeza nguvu pamoja na boti za Jeshi la polisi ambazo zote zilifika na kwa ushirikiano mkubwa ziliweza kufanikiwa zoezi hilo la kuirudisha pantoni hiyo katika eneo lake husika. 
Na abiria ambao walinusurika kuweza kushuka na kuendelea na shughuli zao za kawaida..
Advertisements

Advertisements

No comments:

Post a Comment