ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Sunday, September 2, 2018

Soma habari hapa




MenuTop Stories Habari za Mastaa Breaking News Michezo AyoTV Magazeti Kurasa -Bio  -Contact  -Matangazo  -#0 (no title)  Mkito Videos Mpya 

STORI ZAIDI

HABARI ZA MASTAA

Ukweli kuhusu KUDETA, Steve Nyerere anamiliki? “Hii ni sehemu yake”

Baada ya story za chini chini kuenea kuwa mchekeshaji Steve Nyerere amefungua Lodge kali maeneo...

HABARI ZA MASTAA

Gigy Money karudi tena, time hii ni Zari ‘Bora nikate mauno lana’ (+video)

Muimbaji Gigy Money amerudi tena na time hii amezungumza na kugusia ishu yake ya kumuongelea...

HABARI ZA MASTAA

JUX kwenye Birthday party yake amkumbuka Ommy Dimpoz

Septemba 1, 2018 mkali kutoka Bongo Flevani,  Juma Jux amesheherekea siku yake ya kuzaliwa, ambapo...

TOP STORIES

“Sina ugomvi ila naunga mkono juhudi za Rais Magufuli” maneno Diwani akitoka CHADEMA

Diwani wa Kata ya Olasiti Alex Martin ametangaza kujiuzulu nafasi yake ya Udiwani katikaKata hiyo...

TOP STORIES

FRED LOWASSA “Wanaomsema Mzee wangu nimekuja kuwatia adabu”

Mtoto wa Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, Fred Lowassa ameibukia katika mkutano wa kampeni...

MAGAZETI

LIVE MAGAZETI: Mapya yaibuka makontena ya Makonda, JPM atoa tamko

Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya...

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania September 2, Hardnews, Udaku na Michezo

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 2, 2018, nakukaribisha kutazama...

AYOTV

VIDEO: Jux & Vanessa walivyokula chakula kwenye birthday party ya JUX

Leo ni Septemba 1, 2018 ambapo mkali kutoka Bongo Flevan,  Juma Jux anasheherekea siku yake...

HABARI ZA MASTAA

Drake amewachefua Polisi nchini Canada

Rappa Drake amewachukiza polisi wa Canada kutokana na vazi alilovaa kwenye picha akiwa na Travis...

HABARI ZA MASTAA

Daktari aelezea sababu za Ommy Dimpoz kupungua (+video)

Baada ya kupokea taarifa kutoka kwa msanii Ommy Dimpoz kuhusu hali yake na jinsi alivyopatiwa matibabu huko...

HABARI ZA MASTAA

Mtanzania ametudokezea kumleta producer wa 2pac Tanzania

Muimbaji Yvonne Sangudi mkazi wa California Marekani mwenye asili ya Tanzania amekutana na mtayarishaji na...

HABARI ZA MASTAA

EXCLUSIVE: “Wema Sepetu alinipiga kibao anakasoro zake, alikuwa amekunywa”

Moja ya Story ambazo ziliwai kusambaa mtandaoni hivi karibuni ni kuhusu Chalz Baba kupigwa kibao...

TOP STORIES

Mwanafunzi aliefariki wa kipigo azikwa, TAMISEMI watoa tamko la Serikali (+video)

Leo September 1, 2018 Mwili wa Mwanafunzi aliyeuawa kwa kupigwa viboko na Mwalimu wake wa...

TOP STORIES

Wajumbe tisa waliopitishwa na UVCCM

Umoja wa vijana CCM (UVCCM) umefanya uchaguzi wa wa kuwapata wajumbe wa kamati ya utekelezaji...

HABARI ZA MASTAA

Dj Khaled kataja majina ya wanafunzi watakaosadiwa na Jay Z na Beyonce

Ahadi walioitoa Beyonce na Jay Z kuwafadhili baadhi ya wanafunzi wenye uhitaji wa kusoma chuo...

VIDEO MPYA

VideoMpya: Kutoka Noiz R-CHUGGA huyu hapa Eryca Stefan ‘Boy Bye’

Leo September 1, 2018 Kutoka NoizMekah Arusha kwa Producer DX anatuletea video ya kwake Eryca...

BREAKING NEWS

FULL VIDEO: Makontena ya Makonda yakipigwa Mnada DSM leo Sept. 1

Baada ya mjadala wa ‘Makontena ya Makonda’ kwenye Bandari ya Dar es salaam, leo Septemba...

TOP STORIES

Askofu azikwa ndani ya Kanisa, Waziri Mwijage akumbuka Vita ya Kagera (+video)

Leo September 1, 2018 Askofu Mstaafu wa Jimbo Katoliki la Bukoba Nestory Timanywa ambaye amezikwa ndani...

TOP STORIES

Tazama LIVE Goodluck Gozbert akiimba NIPE, afurahia Gospel kupigwa Club, amtaja JPM

Leo September 1, 2018 Staa wa Muziki wa Injili Tanzania Goodluck Gozbert amekaa katika Interview...

TOP STORIES

DCB Bank wanakupa fursa ya kukopa nusu ya mshahara wako

DCB Commercial Bank imekua ya kwanza kuzindua huduma mpya za simu ya mkononi Mjini Dodoma....

MAGAZETI

LIVE MAGAZETI: Kifo cha Mlinzi wa Mbowe, Makonda amuweka kona mbaya Magufuli

Karibu AyoTV, kila alfajiri unasomewa habari kubwa kutoka kwenye Magazeti ya Tanzania ambapo cha kufanya...

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania Sept 1, Hardnews, Udaku na Michezo

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 1, 2018, nakukaribisha kutazama...

MICHEZO

Bondia katoka Australia kumfuata kocha Tanzania

Bondia mtanzania Omar Kimweri ambaye anafanya kazi zake na kuishi nchini Australia Ijumaa ya August...

AYOTV

Movie za Hollywood zinazoongoza kwa mauzo Bob Paak DSM 2016-18

Movie za Hollywood ni namba moja kwa kupendwa na watu katika nchi mbalimbali duniani hata...

TOP STORIES

MATUKIO MAWILI YALIYOTIKISA MBEYA: Baba aua Mwanae, Mifupa ya Marehemu yaibwa

Leo August 31, 2018 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya wametusogezea matukio mawili yaliyotikisa mkoa...

Page 1 of 121312345Next ›Last »

LIVE: MAKONTENA YA PAUL MAKONDA YAPIGWA MNADA

EXCLUSIVE: OMMY DIMPOZ AFUNGUKA ZAIDI KUHUSU KUNYESHWA SUMU

HOME 

NIFAHAMU WASILIANA NAMI MATANGAZO MKITO PRIVACY POLICY TERMS AND CONDITIONS

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, kaa karibu na mimi kwa kubofya hapo chini ☟

Copyright © 2018, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by millardayo.com | Designed byidodoe.co.tz

#TAGS

TZA HABARIBONGOFLEVANEWSAYO TVSOKA ULAYASOKA BONGOMAGAZETIHABARI DAILYAYOTVAYOTV MAGAZETIBONGOFLEVAVIDEO MPYABUNGENIDUNIANIRAIS MAGUFULIMAREKANIFACEBOOK TWITTER NA INSTAHEKAHEKADIAMOND PLATNUMZTANZANIA NEWS

://bikosports.co.tz/

No comments:

Post a Comment