ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Friday, September 7, 2018

MBEYA: MAGARI MATANO YAGONGANA, 11 WAFARIKI DUNIA – VIDEO

MBEYA: MAGARI MATANO YAGONGANA, 11 WAFARIKI DUNIA – VIDEO

globalpublishers.co.tz

Sep 7, 2018 9:22 PM

MBEYA: MAGARI MATANO YAGONGANA, 11 WAFARIKI DUNIA – VIDEO

AJALI mbaya imetokea katika mteremko mkali wa Iwaranje maeneno ya Igawilo leo Ijumaa, Septemba 7, 2018 ikihusisha malori matatu ya mafuta, Hiace ya abiria na gari moja ya mizigo.

Katika ajali hiyo watu 11 wamedaiwa kupoteza maisha huku kadhaa wakijeruhiwa na kukimbizwa hospitali kwa matibabu.

RPC wa Mbeya, Ulrich Matei amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo ambapo imeelezwa kuwa chanzo ni kufeli breki kwa gari mojawapo.

Tazama yote

Fungua Opera News kuona Maoni

Fuata timu ya mpira unayoipenda, matokeo moja kwa moja na matangazo

Ripoti tatizo



COPY SUCCESS

No comments:

Post a Comment