ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Thursday, September 6, 2018

BREAKING: Msafara wa Rais Magufuli umepata ajali

BREAKING: Msafara wa Rais Magufuli umepata ajali

millardayo.com

Sep 2018 2:00 PM

Leo September 4, 2018 Msafara wa Rais John Magufuli umepata ajali katika kijiji cha Kasuguti Wilaya ya Bunda Mkoa wa Mara ikihusisha magari manne kugongana na kusababisha gari lililokuwa limebeba waandishi wa habari kupinduka na kupelekea baadhi ya waandishi kuumia sehemu mbalimbali za miili yao. 

Wakati ajali hiyo ikitokea, gari za Rais Magufuli zilikuwa zimepita umbali mrefu kutoka eneo ilipotokea ajali hiyo.

Taarifa za awali zinadai kwamba hali za majeruhi zinaendelea vizuri.

Tazama yote

Fungua Opera News kuona Maoni

Fuata timu ya mpira unayoipenda, matokeo moja kwa moja na matangazo

Ripoti tatiz1Chukia


COPY SUCCESS

No comments:

Post a Comment