ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Thursday, August 16, 2018

RAMBO: MABONDIA MAYWEATHER, PACQUIAO WATARUDIANA

RAMBO: MABONDIA MAYWEATHER, PACQUIAO WATARUDIANA

globalpublishers.co.tz

Aug 16, 2018 10:16 AM

RAMBO: MABONDIA MAYWEATHER, PACQUIAO WATARUDIANA

                          Rambo.

MWIGIZAJI Sylvester Stallone (Rambo) wa Marekani, amesema bondia Floyd Mayweather wa Marekani atakubali wito wa mpinzani wake,  Manny Pacquiao wa Ufilipino wa kurudiana katika muda mfupi ujao,  kuzichapa ndondi.

“Nina uhakika wa asilimia 99 kwamba hilo litatokea,” alisema Rambo akiwa katika sherehe ya kuzaliwa kwa mkewe,  Jennifer Flavin huko Spago.

“Wana kila sababu ya kurudiana, ikiwemo kutunza heshima, fedha, historia na vingine vingi,” alisisitiza na kuelezea kauli ya Pacquiao aliyoitoa mwezi Julai mwaka huu baada ya kumshinda Lucas Matthysse,   hivyo akataka warudiane ne Floyd.

Tazama yote

Fungua Opera News ili kusoma zaidi

Follow fav football team, live score & comentary

Ripoti tatizo

Chukia



COPY SUCCESS

No comments:

Post a Comment