ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Friday, August 10, 2018

Mwili wa Mzee Majuto Ulivyopokewa Tanga (Picha+Video)

Mwili wa Mzee Majuto Ulivyopokewa Tanga (Picha+Vide

wasimama mara 16

mwanaspoti.co.tz
Aug 10, 2018 9:45 AM

MAMIA ya waombolezaji jijini Tanga Mjini wamejitokeza kupokea mwili wa aliyekuwa muigizaji nguli wa vichekesho nchini, Amri Athumani ‘Mzee Majuto’ alifariki Jumatano Agosti 8, 2018  saa 2:00 usiku katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili alipokuwa amelazwa akipatiwa matibabu.

Mwili wa marehemu Amri AthumaniMzee Majutoukipokelewa na wakazi wa jiji la Tanga baada ya kuwasili usiku wa jana ukitokea jijini Dar es Salaam.

Wakiendelea kubeba Mwili wa marehemu.

Mtoto wa marehemu Habiba akilia.

Tazama yote

Fungua Opera News ili kusoma zaidi

Offline reading without Internet. Download 1000+ news in just 10 seconds.

Ripoti tatizo

174Chukia

COPY SUCCESS

No comments:

Post a Comment