ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Saturday, August 4, 2018

Waziri wa mali asiri na utarii docta kigwangala apata ajari

Picha 6 za ajali ya Waziri Dkt Hamis Kigwangalla iliyotokea leo

swahilitimes.com

Aug 4, 2018 9:43 AM

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt Hamis Kigwangalla amepata ajali katika eneo la Magugu mkoano Manyara. Waziri Kigwangalla amejeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake, huku mwanahabari Hamza Temba akifariki dunia.

Waziri Kigwangalla alikuwa katika ziara ya kikazi ambapo alikuwa akikagua utendaji kazi wa watendaji na mamlaka zilizopo chini yake pamoja na mapori mbalimbali nchini.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Manyara, Augustino Senga amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo.

Taarifa za awali kutoka eneo la tukio zinaeleza kuwa, Waziri Kigwangalla alikuwa akisubiria helkopta ili awahiswe hospitali.

Hapa chini ni picha za ajali hiyo:

Tazama yote

Fungua Opera News ili kusoma zaidi

Offline reading without Internet. Download 1000+ news in just 10 seconds.

Follow fav football team, live score & comentary

Ripoti tatizo

182Chukia

COPY SUCCESS

No comments:

Post a Comment