ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, July 23, 2018

MAWE YAPOROMOKA MLIMA KITONGA IRINGA NA KUZIBA BARABARA

MAWE makubwa yameporomoka Leo katika mlima wa Kitonga wilaya ya Kilolo mkoani Iringa na kuziba Barbara kuu ya Iringa -Dar esalaam na nchi za kusini mwa Tanzania.

Katika tukio hili hakuna madhara makubwa yaliyojitokeza zaidi ya kusitisha safari za wasafiri wanaotumia Barbara hiyo.

Endelea kuwa nasi  kwa habari za uhakika kwa habari na Matangazo  piga simu 0762995785

Tazama yote

Fungua Opera News ili kusoma zaidi

Follow fav football team, live score & comentary

Ripoti tatizo

102Chukia

COPY SUCCESS

No comments:

Post a Comment