ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Friday, July 27, 2018

Diamond Azuiwa Kwenda Kufanya Shoo Nje Akiwa Uwanja wa Ndege.

Baraza la Sanaa la Taifa, limemzuia Diamond Platinumz kwenda kufanya show nje ya nchi akiwa katika uwanja wa ndege wa kimaitafa wa mwl julius kambarage nyerere huku sababu kubwa ikiwa ni kwamba msanii huyo kukosa kibali cha kwenda kufanya show hiyo.

Akiongea na TBC  kaimu katibu mtendaji Onesmo Mabuye anasema kuwa Diamond amezuiwa kutokana na kukosa kibali cha BASATA cha kufanya show za nje.

BASATA wanasema kuwa kwa sasa kuna utaratibu mya ambao inabidi ufuatwe na wasanii wote kwamba kama msanii anakwenda kufanya shoe nje ya nchi inabidi kupata kibali pale anapokwenda na pia anaporudi ni lazima kuripoti BASATA pia.

BASATA wanasema kuwa wameamua kufanya hivi leo kwa msanii Diamond ili kuwa fundisho kwa wasanii wengine wanaokwenda nje ya nchi bila kutoa taarifa BASATA wala kuwa na Vibali vya kusafiri kwa ajili ya show.

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.

Tazama yote

Fungua Opera News ili kusoma zaidi

Follow fav football team, live score & comentary

Ripoti tatizo

57Chukia

No comments:

Post a Comment