ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Sunday, July 1, 2018

Aliye fanya mauaji alawitiwa gelezani!


HABARI ZA MASTAA

Mtuhumiwa wa mauaji ya Xxxtentacion alawitiwa gerezani

By

Erasto

on

June 30, 2018

COMMENTS

Mtuhumiwa wa kwanza Dedrick Williamaliyeshtakiwa kwa mauaji ya MarehemuXxxtentacion aripotiwa kulawitiwa akiwa gereza la Broward County na taarifa za harakaharaka zinahusisha kundi la Kodak Black  kuhusika na ishu hiyo .

Inaripotiwa kuwa Derick William alikuwa akioga ndipo watu wakamvamia na kumfanyia kitendo hicho na wengine kudai kuwa kutokana na ukaribu aliokuwa nao Marehemu Xxxtentacion na kundi laKodak Black huenda wakahusika mojamoja na tukio hilo.

Kuna uthubitisho wa message zinazodaiwa kuwa zilitumwa na mmoja wa askari wa gereza hilo la Broward County na kitendo hicho kusemekana kilipangwa kufanyika siku ya kuuaga mwili wa Marehemu Xxxtentacion.

Hukumu kwa Mtu atakayewalisha watu nyama ya Mbwa

RELATED ITEMSBONGOFLEVANEWS

COMMENTS

← PREVIOUS STORYMarehemu MJ & Static Major washirikishwa kwenye Album ya Drake “Scorpion”

SOMA NA HIZI

Marehemu MJ & Static Major washirikishwa kwenye Album ya Drake “Scorpion”

HII NI NOMAA!! Huu ndio mkwanja walioingiza Jay Z & Beyonce ‘On The Run II’

Rappa Xxxtentacion alijitabiria kifo? wimbo wa “Sad” wafichua kila kitu

TUPIA COMMENTS

NAPE NNAUYE: “MNATAKA KUTUUA”

DAVIDO ALIVYOMPANDISHA DIAMOND STEJINI

HOME 

NIFAHAMU WASILIANA NAMI MATANGAZO MKITO PRIVACY POLICY TERMS AND CONDITIONS

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, kaa karibu na mimi kwa kubofya hapo chini ☟

Copyright © 2018, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by millardayo.com | Designed byidodoe.co.tz

#TAGS

TZA HABARIAYO TVBONGOFLEVANEWSSOKA ULAYASOKA BONGOHABARI DAILYMAGAZETIAYOTVAYOTV MAGAZETIBONGOFLEVAVIDEO MPYABUNGENIDUNIANIRAIS MAGUFULIMAREKANIFACEBOOK TWITTER NA INSTAHEKAHEKADIAMOND PLATNUMZMAHAKAMANI

No comments:

Post a Comment