ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, July 16, 2018

aada ya Barack Obama, ugeni mwengine mzito watinga nchini

Ikiwa ni masaa tu yamepita tangu Rais Mstaafu wa Marekani, Barack Obama aondoke nchini jana Julai 15, 2018 baada ya kukaa siku 8 ya ziara ya mapumziko, hatimaye Tanzania imepata mgeni mwingine mkubwa kutoka barani Ulaya.

Barack Obama na Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Augustine Mahiga

Akizungumza wakati wa kumlaki Barack Obama jana katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Augustine Mahiga amesema Tanzania imempokea Rais wa Uswizi, Alain Berset ambaye atakaa nchini kwa siku 10.

Awali Mhe. Augustine Mahiga alisema kuwa Obama alikuja nchini siku 8 zilizopita kutimiza ziara yake kimya kimya ya mapumziko katika Hifadhi za Taifa za Serengeti zilizopo mkoani Mara huku akisema kuwa yeye ndiye aliyempokea lakini Rais huyo mstaafu hakutaka taarifa zisambae kwani alihitaji awe faragha zaidi na Jana Julai 15, 2018 aliondoka nchini.

Tazama yote

Fungua Opera News ili kusoma zaidi

Offline reading without Internet. Download 1000+ news in just 10 seconds.

Follow fav football team, live score & comentary

Ripoti tatizo

145Chukia

No comments:

Post a Comment