ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, June 25, 2018

yaliyo jir leo

 


/


Deadline:

Post for Free

View All

HABARI KUU LEO

Jun 25, 2018
SeifKombeTrumpMeetKimSingaporeMarekaniKaskaziniShutsMAGEREZA

SIKU KAMA YA LEO

Jun 25, 2017
1MAGAZETI YA JUMAPILI LEO JUNE 25,20172Rayvanny Ameshinda Tuzo Ya BET 20173HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JUNE 25,2017

POPULAR ON YOUTUBE


Matukio mbalimbali yaliyojiri leo asubuhi mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba

 

Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta(kulia) akibadlishana mawazo Mjumbe wa Bunge hilo Rashid Mtuta (kushoto) leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.

Naibu Katibu wa Bunge Maalum ambaye ni Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Thomas Kashillah (mwenye miwani) akibadlishana mawazo na Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba leo mjini Dodoma kabla ya kuanza kwa kikao cha asubuhi.

Wajumbe wa  Bunge Maalum la Katiba wakiwasili katika ukumbi wa...

Dewji Blog 

Read more 

Habari Zinazoendana

4 years ago

Dewji Blog

26SEP

Matukio mbalimbali Waziri Mkuu Pinda kutoka Bunge mjini Dodoma linakoendelea Bunge Maalum la Katiba

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Peter Serukamba  (kushoto) na Abdulkarim Shah kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mjumbe wa Bunge Maalum la katiba, Abdulkarim Shah (kushoto) na Ayman Jafari kutoka kikundi cha Tulee Yatima Tanzania cha Dar es salaam kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 26, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Wajumbe wa...

 

4 years ago

Dewji Blog

21MAY

Matukio mbalimbali kutoka Bungeni mjini Dodoma linakoendelea Bunge la Bajeti

Waziri wa Ujenzi, Mh. John Magufuli  akisoma bajeti ya Wizara  hiyo bungeni mjini Dodoma Mei 21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na wabunge kutoka bunge la Uganda , Ssentongo Theopista Nabulya (kushoto) na Dr. Chris Baryomunsi, ofisini kwake bungeni mjini Dodoma  Mei  21, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera,  Uratibu  na Bunge, William Lukuvi akisalimiana na ujumbe wa wabunge kutoka  Bunge la...

 

4 years ago

Michuzi

04MAR

Matukio mbalimbali Bunge Maalum la Katiba Dodoma leo.

Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma. Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dkt. Fenella Mukangara akimwelekeza jambo Mtangazaji wa TBC ONE Bw. Shaaban Kissu wakati akiwasili katika katika...

 

4 years ago

Dewji Blog

29AUG

Matukio katika picha leo Bunge Maalum la Katiba mjini Dodoma

Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Mhe. Fenella Mukangara (kulia) ambaye pia ni mmoja wa Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba akibadilishana mawazo na mjumbe mwenzie leo 28 Agosti, 2014 katika eneo la Bunge mjini Dodoma.

Baadhi ya Wajumbe wa Kamati mbalimbali za Bunge Maalum la Katiba wakitoka ndani ya Bunge leo 28 Agosti, 2014 mjini Dodoma.(Picha zote na Benedict Liwenga, Maelezo-Dodoma).

 

 

Share

Top 10 Tanzania Today Today Breaking News,Tanzania World News 25-June-2018 in Tanzania 

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Soma Habari kuu leo 

Habari za Mikoani

ArushaDar es SalaamDodomaIringaKageraKigomaKilimanjaroLindiManyaraMaraMbeyaMorogoroMtwaraMwanzaPembaPwaniRukwaRuvumaShinyangaSingidaTaboraTangaUngujaZanzibar

Used TOYOTA Cars for Sale

ABOUT TANZANIA TODAY»
Company
Advertise
Feedback

OUR SERVICES»
Company
Advertise
Feedback

TALK TO US»
Email: info@tanzaniatoday.co.tz
Privacy
Sitemap
Help

NEWSLETTER»

  

×

Pata Mkusanyiko wa habari kumi muhimu za siku. Subscribe Now!

Submit Email

AddThis

No comments:

Post a Comment