Vituko vingine vya Mbunge BWEGE bungeni leo, “tutaandamana”

By

Msombe TZA

on

June 20, 2018

COMMENTS

Mbunge wa Kilwa Kusini Selemani Bungara maarufu Mbunge BWEGE amelieleza Bunge kuwa atahamasisha Wabunge wote wa kusini kuandamana endapo Serikali itashindwa kuwalipa pesa zao za korosho wanazodaiwa na wakulima.

Comments