ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, June 25, 2018

TOP STORIES

MenuTop Stories Habari za Mastaa Breaking News Michezo AyoTV Magazeti Kurasa -Bio  -Contact  -Matangazo  -#0 (no title)  Mkito Videos Mpya 

TOP STORIES

Hawa TRA wamekuwa kero sana, Waziri uje ujibu hapa” –Rose Tweve

By

Msombe TZA

on

June 25, 2018

COMMENTS

June 25, 2018 Mbunge wa viti maalum CCM Rose Tweve amesema kuwa wastani wa watanzania kunywa maziwa umeshuka kwa kiwango kikubwa huku kukiwa na changamoto kwa wauzaji wa maziwa ambao wamekuwa wakisumbuliwa na watu wa mamlaka ya mapato nchini TRA.

Mwitikio wa unywaji wa maziwa nchini umekuwa chini sana, WHO wanashauri mwanadamu anywe walau lita 200 kwa mwaka lakini hatujafikia lengo na tatizo kubw ahapa ni bei ya kuwa kubwa.” –Rose Tweve

Suala lingine ningependa Waziri uje ulitolee ufafanuzi, hawa watu wa TRA wamekuwa ni kero kwa wauzaji wa maziwa hasa ya mtindi kwa kuwalazimisha kulipa VAT ” –Rose Tweve

Waziri MpinaTumepiga faini sana inatosha sasa tukikumata tunataifisha kila kitu”

No comments:

Post a Comment