ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Wednesday, June 27, 2018

TOP STORIES Mwanaume aanzisha ugomvi kisa Mkewe kaomba chumvi kwa jirani

by erasto

on

June 27, 2018

COMMENTS

Leo June 27, 2018 kuna hii ya kuifahamu kutoka Kenya ambapo Mwanaume mmoja anayeishi katika mtaa wa Majengo, Embu amewashangaza wengi baada ya kuzua ugomvi alipomkuta Mke wake kwa jirani yake akiomba chumvi.

Inadaiwa kuwa Mwanaume huyo ambaye jina lake halikufamika, amemuoa Mwanamke huyo siku za hivi karibuni alikuwa ameenda kazini na aliporudi hakumkuta Mke wake huyo na ndipo alipoanza kumtafuta na kumkuta kwa jirani.

Aidha Mwanaume huyo alipomuuliza Mkewe amefata nini hapo Mkewe alimjibu kuwa alikuwa ameenda kuomba chumvi na ndipo Mwanaume huyo alipoanza kumgombeza na kuwavuta Watu katika eneo hilo akimtuhumu Mkewe kuwa alienda kwa jirani yake huyo kuchepuka na sio kuomba chumvi.

Unaambiwa kuwa jirani yake alipoingilia kati Mwanaume huyo alianza kumshushia kipigo jirani huyo huku Mwanamke akipata upenyo wa kutorokea.

Kwa upande mwingine inadaiwa kuwa Mwanaume huyo anasumbuliwa sana na wivu kwa Mkewe.

BREAKING: 15 wakamatwa DSM, ni wale wa ‘Ile pesa nitumie kwa namba hii

RELATED ITEMSTZA HABARI

COMMENTS

← PREVIOUS STORYEXCLUSIVE: Mtanzania aliyetunukiwa PhD Marekani amezungumza

NEXT STORY →BREAKING: Baba Mzazi wa Michael Jackson amefariki

SOMA NA HIZI

Habari kubwa za Magazeti ya TZ leo June 27, 2018 Udaku, Michezo na Hardnews

BREAKING: Baba Mzazi wa Michael Jackson amefariki

EXCLUSIVE: Mtanzania aliyetunukiwa PhD Marekani amezungumza

TUPIA COMMENTS

NAPE NNAUYE: “MNATAKA KUTUUA

DAVIDO ALIVYOMPANDISHA DIAMOND STEJINI

HOME 

NIFAHAMU WASILIANA NAMI MATANGAZO MKITO PRIVACY POLICY TERMS AND CONDITIONS

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, kaa karibu na mimi kwa kubofya hapo chini ☟

Copyright © 2018, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by millardayo.com | Designed byidodoe.co.tz

#TAGS

TZA HABARIAYO TVBONGOFLEVANEWSSOKA ULAYASOKA BONGOHABARI DAILYMAGAZETIAYOTVAYOTV MAGAZETIBONGOFLEVAVIDEO MPYABUNGENIDUNIANIRAIS MAGUFULIMAREKANIFACEBOOK TWITTER NA INSTAHEKAHEKADIAMOND PLATNUMZMAHAKAMANI

No comments:

Post a Comment