ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Tuesday, June 26, 2018

soma simlizi na maskin jeur

[6/26, 19:11] ‪+255 754 409 746‬: KWANZA NIWASHUKURU WATU WANGU,MARAFIKI,NDUGU NA JAMAA KWA KUCHUKUA MUDA WENU WA KUWA HUMU KWENYE HILI GROUP
BINAFSI NAFARIJIKA SANA KWA UWEPO WENU HUMU VILE VILE NATAMBUA SANA NA NINAHESHIMU SANA  UWEPO WENU HUMU
NITAKUWA NAWEKA EPISODE ZA SIMULIZI KILA SIKU SAA MOJA JIONI HII ITAKUWA KWA MFUMO WA SAUTI
KWA KUWA NAAMINI NYIE NI MABALOZI WANGU NTAOMBA MAONI YENU NA NAOMBA MUWE MNANISAIDIA KUSHARE WATU WAJUE ZAIDI ILI TUWAFIKIE WATU WENGI NA NINATUMAINI TUTAKUWA SOTE PASIPO MTU KULEFT NA HAKUTOKUWA NA TATIZO KWAKUWA SOTE NI FAMILIA MOJA
NAWAPENDA SANA NA KARIBU KATIKA SIMULIZI INAYOKWENDA KWA
*MAMA YANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU*
TUWEZE KUJIFUNZA MENGI

BY *Maskinijeuri94*
[6/26, 19:11] ‪+255 754 409 746‬: KARIBU KATIKA SIMULIZI NZURI NA YA KUSISIMUA INAYOKWENDA KWA
*MAMA YANGU ANAKULA***NYAMA ZA WATU**
SEHEMU YA KWANZA UWEZE KUSHUHUDIA NA KUONA UCHAWI NAMNA AMBAVYO UNACHUKUA NAFASI MAISHANI MWETU

UKISHASIKILIZA NAOMBA USISAHAU KUSHARE KWA WATU WENGI ZAIDI NA KUSUBSCRIBE YOU TUBE CHANNEL YANGU

INASIMULIWA KWAKO NA MSIMULIAJI WAKO
*MASKINIJEURI94*
ENJOY SEHEMU YA KWANZA

https://youtu.be/wZeDJ90wUL8
[6/26, 19:12] ‪+255 754 409 746‬: KARIBU KATIKA SEHEMU YA 02
MWENDELEZO WA SIMULIZI YA *MAMA YANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU*
KAMA KAWAIDA USISAHAU KUACHA MAONI YAKO ILI TUWE TUNAENDA SAWA VILE VILE USISAHAU KUSHARE ZAIDI ILI WATU WENGI WAJUE MAMBO YA DUNIA HII

IMELETWA KWENU NAMI
MSIMULIAJI WAKO *MASKINIJEURI94*
KUTOKA *UPLANDSFM* NJOMBE
TANZANIA
 

*ENJOYYYYY*

.https://youtu.be/oin-NRr6ShY
[6/26, 19:12] ‪+255 754 409 746‬: KARIBU KATIKA SEHEMU YA 03 YA MWENDELEZO WA SIMULIZI YA
*MAMA YANGU ANAKULA NYAMA ZA WATU*

UWEZE KUENDELEA KUFAIDI UHONDO HUU HAPA HAPA
PIA USISAHAU KUSHARE ZAIDI WATU WENGI WAJUE MENGI YANAYOENDELEA KWENYE DUNIA NYINGINE YA KICHAWI

IMELETWW KWAKO NA MSIMULIAJI WAKO *MASKINIJEURI94*

*ENJOYYY SEHEMU YA 03*

https://youtu.be/eqV36UIHNiI
[6/26, 19:30] ‪+255 782 348 710‬: *WANAWAKE MUWE NA UPENDO KWA NDUGU WA MUME WAKO!!*
Siku moja wakiwa wamekaa pamoja mume pamoja na mke wake, mume akamwambia mke wake...
"Mke wangu nimewakumbuka sana ndugu zangu (kaka zangu dada zangu na hata baba na mama) tujumuike pamoja na kula pamoja
Kesho nitawaalika ili tujumuike nao katika chakula cha mchana, itabidi uandae chakula kwa ajili yao."
Mke akasema kwa unyonge "sawa mungu akipenda."
Asubuhi ya siku iliyofuata mume akatoka kwenda katika mishughuliko yake lakini baada ya masaa kadhaa akarejea nyumban na kumuuliza mke wake.
"Mke wangu umeandaa chakula cha mchana kwa ajili ya wageni? maana baada ya lisaa limoja watakuwa wameshafika."
Mke akajibu "hapana sijapika kwani ndugu zako sio wageni hapa watakula chochote watakachokikuta."
Mumewe akamwambia mungu akusamehe mke wang kwa nini unayasema hayo ilihali tokea jana nilikuambia ya kuwa wazazi wangu wanakuja
Na kwa nini hukunambia mapema kuwa hutopika ilihali baada ya lisaa limoja wazazi wangu watakuwa hapa nini unafanya mke wangu."
Mke akamjibu "waache waaje nitawataka radhi, kwani wao si wageni hapa watakula chochote watakachokikuta."
Basi mume ikambidi aondoke pale nyumban kwa kukwepa fedheha.
Baada ya dakika kadhaa mlango ukagongwa mke akaenda kuufungua...
Kwa mshangao mkubwa alipofungua mlango akakuta wageni waliokuja hapo ni wazazi wake babaake, mamaake dada zake pamoja na kaka zake
Akastuka kwa mshangao na kuwakaribisha ndani,
Baba akamuuliza kuwa mume wake yupo wapi?
Akajibu kuwa alikuwepo hapa ametoka dakika chache kabla hamjafika.
Baba akamwambia "mumeo jana alitupa taarifa kuwa leo anatuarika hapa tuje kula pamoja chakula cha mchana sasa vipi yeye ametoka si busara."
Yule mwanamke akastuka kwa taarifa hiyo na kuanza kujifikicha mikono yake huku akiipiga piga hali ya kuchanganyikiwa."
Ikambidi aingie ndani na kumpigia simu mume wake akamwambia "kwa nini hukuniambia kuwa wazazi wangu ndio wanaokuja?"
Mumewe akamjibu "Wazazi wangu na wazazi wako wote ni kitu kimoja/hawana tofauti."
Mke akamwambia "Lete chakula huku chakula kilichokuwepo ni kichache haki tawatosheleza."
Mume akamjibu "Mimi nipo mbali na hao si wageni watakula chochote kilichopo kama wewe ulivyokuwa ukitaka kuwalisha wazazi wangu.

No comments:

Post a Comment