ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, June 25, 2018

Pata Mkusanyiko wa habari kumi muhimu za siku. Subscribe Now!

 


/


Deadline:

Post for Free

View All

HABARI KUU LEO

Jun 26, 2018
SeifKombeTrumpMeetKimSingaporeMarekaniKaskaziniShutsMAGEREZA

SIKU KAMA YA LEO

Jun 26, 2017
1Okwi Asaini Mkataba Wa Miaka Miwili Simba2Okwi Kuamua Usajili Wa Mastaa3HAYA HAPA MAGAZETI YA LEO JUMATATU JUNE 26,2017

POPULAR ON YOUTUBE


AJALI MBAYA ZILIZOTOKEA ASUBUHI YA LEO

Toyota Coaster T 916 BQE  ikiwa imetumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano. Ikionekana kwa nyuma ilipokuwa ikivutwa baada ya kutumbukia mtaloni maeneo ya Sinza Mapambano.…

GPL 

Read more 

Habari Zinazoendana

4 years ago

Michuzi

ajali mbaya eneo la Mikese, Morogoro, leo Asubuhi

 Ankle habari. Leo asubuhi eneo la Mikese, Morogoro, tumekutana na na ajali  mbaya sana ya magari mawili, moja la mafuta, kugongana uso kwa uso na kutumbukia mtaroni na yote kushika moto. Inasadikiwa mtu mmoja ambaye ni dereva wa magari hayo kateketea kabisa kwa moto. Picha na Mdau Sixmund 
 Hakuna cha kufanyika kutokana na moto mkubwa na moshi mwingi wakati magari hayo yakiteketea  Mlipuko mkubwa wakati matenki ya mafuta yakilipuka Askari wa kikosi cha zimamoto wakijaribu kuuzima moto...

 

2 years ago

Global Publishers

09MAR

Ajali Mbaya Imetokea Asubuhi Hii Tabata Matumbi, Dar

Maofisa wa Polisi wakiwa eneo la tukio.Hali ilivyokuwa eneo la tukio baada ya ajali hiyo.

Taswira halisi ya ajali hiyo.

Ajali mbaya imetokea mapema leo asubuhi eneo la Tabata Matumbi- Dar es Salaam ikihusisha magari matatu, daladala (DCM) iliyokuwa na abiria lifanyalo safari zake Gongo la Mboto na Simu2000, Lori lililobeba mchanga na Lori lililokuwa limebeba N’ombe likielekea Vingunguti

Watu ambao idadi yao bado haijafahamika maramoja wanasadikiwa kufariki dunia na wengine kujeruhiwa...

 

1 year ago

Zanzibar 24

07JUN

Habari za Hivipunde: Ajali mbaya yatokea Wete Pemba asubuhi hii

Gari ya abiri aina ya DYNA yenye namba za usajili Z 330 GX lapinduka huko maeneo ya wete pemba, kwa habari zisizo rasmi mtu mmoja afariki papo hapo.

tutaendelea kukupa taarifa hizi kadri tutakvyo zipokea kutoka eneo la tukio…………………

 

The post Habari za Hivipunde: Ajali mbaya yatokea Wete Pemba asubuhi hii appeared first on Zanzibar24.

 

2 years ago

Global Publishers

19AUG

Ajali Mbaya Yatokea Mlimani City Leo Alfajiri

Usiku wa Agosti 19 maeneo ya mataa yaliyopo kati ya Mlimani City na Mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) ilitokea ajali ya gari ndogo ambayo haikuweza kufahamika kwa haraka kutokana na kugongwa na Lori lililovuka na kuingia hadi kituo cha mafuta kilichopo jirani na mataa hayo.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa ikiendeshwa na mwanamke ambaye mwili wake haukuweza kuokolewa kutokana na kubanwa.

Alipopigiwa simu ili kufafanua kama amepata taarifa za ajali hiyo,...

 

2 years ago

Michuzi

AJALI MBAYA ENEO LA PALM BEACH JIJINI DAR LEO

 Salaam Ankal, Leo nimepita maeneo ya Palm Beach wakati nikitokea mjini muda wa SAA 12:15 asubuhi Nimeikuta gari hii aina ya Altezza au Subaru (maana haieleweki kutokana na ilivyoumia) likiwa halitamaniki, inaelezwa kuwa limegonga nguzo ya taa za barabarani. Haijafahamika kulikuwa na watu wangapi na hali zao zikoje mpaka sasa.

 

4 years ago

Michuzi

05SEP

MGANGA MKUU MKOA WA MARA AZUNGUMZIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO MUSOMA.

 

3 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: BASI LA KAMPUNI YA NEW FORCE LAPATA AJALI MBAYA MKOANI IRINGA LEO

 NEWS UPDATES.:Jumla ya watu. 12 wamepoteza Maisha na 22 wamejeruhiwa leo baada ya basi la New Force kupata ajali Eneo la Mahenge Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa barabara kuu ya Iringa- Dar es salaam..
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa,Peter Kakamba amethibitisha watu 12 kupoteza maisha katika ajali hiyo. Wanane ni wanae na wanne ni wanawake. Abiria 28 wamejeruhiwa wakiwemo madereva wa basi la lori na hali zao siyo nzuri.

Ajali hiyo imetokea majira ya saa nane alasiri ambapo basi la...

 

4 years ago

Michuzi

TAMASHA LA SERENGETI FIESTA 2014 MUSOMA LASITISHWA KUFUATIA AJALI MBAYA ILIYOTOKEA LEO.

 Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji Clouds Media Group,pichani wa tatu shoto Ruge Mutahaba akiwa sambamba na baadhi ya wasanii waliokuwa wakitarajiwa kutumbuiza leo usiku mjini Musoma kwenye tamasha la Fiesta,lakini hata hivyo Uongozi wa Clouds Media Group,Prime Time Promotions ambao ndio waandaaji pamoja na Wadhamini wa tamasha hilo kwa pamoja wamekubaliana kuaihirisha onyesho hilo mpaka hapo baadae itakapotangazwa tena.
Kuaihirishwa huko kunafuatia ajali mbaya na ya aina yake iliyopelekea...

 

Share

Top 10 Tanzania Today Today Breaking News,Tanzania World News 26-June-2018 in Tanzania 

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Soma Habari kuu leo 

Habari za Mikoani

ArushaDar es SalaamDodomaIringaKageraKigomaKilimanjaroLindiManyaraMaraMbeyaMorogoroMtwaraMwanzaPembaPwaniRukwaRuvumaShinyangaSingidaTaboraTangaUngujaZanzibar

Used TOYOTA Cars for Sale

ABOUT TANZANIA TODAY»
Company
Advertise
Feedback

OUR SERVICES»
Company
Advertise
Feedback

TALK TO US»
Email: info@tanzaniatoday.co.tz
Privacy
Sitemap
Help

NEWSLETTER»

  

×

Pata Mkusanyiko wa habari kumi muhimu za siku. Subscribe Now!

Submit Email

AddThis

No comments:

Post a Comment