ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, June 25, 2018

HABARI ZA MASTAA

ABARI ZA MASTAA

Gigy Money is not my Type, siwezi kuwa na tatizo na mtu ambaye yupo chini yangu

By

Victor Kileo TZA

on

June 17, 2018

COMMENTS

Video Queen anayefahamika kwa jina la Irene ambaye hivi karibuni amekuwa akihusishwa kuwa na bifu na msanii Gigy Money baada ya kuonekana kwa video inayowaonesha wakitoleana maneno makali na jumbe za kutambiana walizokuwa wakizipost kwenye mtandao wa Snapchat.

Sasa Ayo Tv na millardayo.comimempata Irene ambaye amezungumza kwa upande wake kuhusu ishu hiyo. Bonyeza PLAY hapa chini kumsikiliza akizungumza.

No comments:

Post a Comment