ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, June 25, 2018

Habari za hivi punde

Homepage

Accessibility links

Ruka hadi maelezoAccessibility Help

Menyu

Tafuta

News Swahili

BBC News Swahili Uongozaji

Yaliyomo

Habari za hivi punde

Habari kuu

HABARI ZA HIVI PUNDE Baadhi ya wachezaji wa EPL wanatumia madawa haramu

Uchunguzi umebaini kuwa dkt Bonar amekuwa akiwapa wachezaji nyota 150 dawa aina ya EPO Steroids na hata homoni zinazokua kwa haraka ambazo ni haramu katika michezo

3 Aprili 2016

Soma taarifa kwa kina Habari za hivi punde Baadhi ya wachezaji wa EPL wanatumia madawa haramu

Al shaabab wazima makomando wa Marekani

Wapiganaji wa kundi la wanamgambo wa Al shaabab wamezima shambulizi la kuvizia lililotekelezwa na makomando wa jeshi la Marekani

10 Machi 2016

Soma taarifa kwa kina Al shaabab wazima makomando wa Marekani

Marekani yawaua Al-Shabab 150

Taarifa kutoka makao makuu ya jeshi la Marekani Pentagon inasema kuwa shambulizi la ndege isiyokuwa na rubani limewaua wapiganaji 150 wa Al Shaabab Somalia

7 Machi 2016

Soma taarifa kwa kina Marekani yawaua Al-Shabab 150

Man Utd 3 - 2 Arsenal

Manchester United imeilaza Arsenal 3-2 nyumbani kwao uwanjani Old Trafford licha ya kukabiliwa na majeruhi wengi.

29 Februari 2016

Soma taarifa kwa kina Man Utd 3 - 2 Arsenal

FIFA: Rufaa ya Blatter na Platini yatupwa nje

Rufaa iliyowasilishwa kwa kamati ya nidhamu ya FIFA na aliyekuwa rais wa shirikisho la Soka Duniani FIFA Sepp Blatter na rais wa UEFA Michel Platini imetupiliwa mbali.

25 Februari 2016

Soma taarifa kwa kina FIFA: Rufaa ya Blatter na Platini yatupwa nje

Mfuasi wa 'Islamic State' amjeruhi mwalimu Paris

Polisi nchini Ufaransa wanamtafuta mwanaume aliyemdunga na kujeruhi mwalimu katika shule moja iliyoko katika kitongoji cha jiji la Paris Ufaransa

14 Disemba 2015

Soma taarifa kwa kina Mfuasi wa 'Islamic State' amjeruhi mwalimu Paris

Aston Villa 0-0 Man City

Mancity ni wageni wa Aston Villa katika mechi hii ya ligi kuu ya Premia

8 Novemba 2015

Soma taarifa kwa kina Aston Villa 0-0 Man City

Tetemeko la ardhi latikisa Japan

Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mji wa Tokyo Japan muda mchache uliopita

30 Mei 2015

Soma taarifa kwa kina Tetemeko la ardhi latikisa Japan

Misri:Marekani yapinga Morsi kunyongwa

Marekani imeelezea kutoridhishwa kwake na kauli ya kuhukumiwa kunyongwa kwa aliyekuwa rais wa Misri Mohamed Morsi hapo jana.

17 Mei 2015

Soma taarifa kwa kina Misri:Marekani yapinga Morsi kunyongwa

Pistorius:Familia ya Reeva yaridhika

Wazazi wa Reeva Steenkamp wameambia BBC kuwa wameridhishwa na hukumu ya miaka 5 aliyopewa Oscar Pistorius kwa kumuua mpenzi wake

21 Oktoba 2014

Soma taarifa kwa kina Pistorius:Familia ya Reeva yaridhika

Habari kuu

'Tunasubiri miujiza kumuepusha mtoto wetu kunyongwa'Padri mwimbaji wa rap asimamishwa kazi KenyaAliyeuzia watu sambuza za nyama ya paka afungwa jela

Gumzo mitandaoni

Drogba: Kunyoa nywele zangu ndefu kumenifaa

 

Mambo matano marufuku kwa wanawake Saudi Arabia

Mhubiri ataka alipwe awasaidie Nigeria kushinda Kombe la Dunia

 

Chemsha bongo:Ni nchi gani wiki hii ambayo mtambo wake ya pesa (ATM) ulivamiwa na panya na kusababisha hasara kubwa?

Instagram yazindua IGTV

 

Je bangi inaweza kuokoa penzi lililozorota?

Tangazo lawahimiza wanawake kuzaa na wachezaji Urusi

 

Waziri mkuu wa New Zealand ajifungua mtoto wa kike

Maofisa wa wizara ya uvuvi wazua gumzo Tanzania

Mitandao ya Kijamii

FacebookTwitterInstagramSoundCloud

Idhaa

 RSS

BBC News Swahili Uongozaji

Yaliyomo

Uongozaji BBC

NewsSportWeatherRadioArts

Masharti ya matumiziKuhusu BBCSera ya FaraghaCookiesAccessibility HelpParental GuidanceWasiliana na BBCGet Personalised NewslettersJitangaze na BBCChaguoCopyright © 2018 BBC. BBC Haiwajibiki kwa taarifa kutoka tovuti zisizo zake. Muongozo wetu kuhusu na juu ya wavuti za nje.

No comments:

Post a Comment