ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Saturday, June 30, 2018

HABARI KUBWA LEO

KUTOKA BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania, Deus Seif kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wabunge wa Viti Maalum, Munde Tambwe (kushoto ) na Lucy Mayenga kwenye viwanja vya Bunge jijjini Dodoma Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na Mbunge wa Viti Maalum, Halima Bulembo kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Juni 6, 2018. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na...

 

4 weeks ago

MwanaHALISI

05JUN

CAG amweka pabaya waziri wa JPM bungeni

 HALIMA Mdee, Mbunge wa Kawe na John Mnyika wa Kibamba (wote Chadema) wamemkaria kooni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango wakitaka kujua zipo wapi fedha zilizoibuliwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Anaripoti Dany Tibason, Dodoma … (endelea).  Mnyika na Mdee kwa pamoja walimtaka Dk. Mpango awaeleze Watanzania wapi ...

 

4 weeks ago

Michuzi

Hotuba Ya Bajeti Wizara Ya Fedha Na Mipango 2018/19 iliyowasilishwa leo Bungeni na Dkt Mpango

 Waziri wa Wizara ya Fedha na Mipango Dkt Philip Mpangango (MB.) akiwasilisha Bungeni makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Fedha na Mipango kwa Mwaka 2018/19 mjini Dodoma leo.

 

4 weeks ago

Michuzi

SPIKA NDUGAI AFUNGUA MAONESHO YA MADINI BUNGENI DODOMA

Na Veronica SimbaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai, leo Mei 30, amefungua rasmi maonesho ya madini katika viwanja vya Bunge, jijini Dodoma na kuipongeza Wizara ya Madini kwa kuyaandaa.Akitoa hotuba ya ufunguzi, Ndugai alimpongeza Waziri mwenye dhamana, Angellah Kairuki pamoja na watendaji wa Wizara, kwa juhudi kubwa za kutangaza na kulinda rasilimali ya madini hapa nchini. Alisisitiza kuwa, anatumaini juhudi hizo zitaendelezwa ili kuiwezesha sekta husika kuwa na...

 

1 month ago

MwanaHALISI

30MAY

Bajeti ya Lukuvi yapita bungeni

JANA serikali ilpitisha bajeti ya Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ya mwaka wa fedha 2018/19 kiasi cha Sh. 73,071,273,638. Anaripoti Dany Tibason … (endelea). Pamoja na kupitisha bajeti hiyo lakini bado wabunge wamesema kuwa wanakerwa na tabia ya baadhi ya watumishi wa wizara hiyo hususani waliopo katika halmashauri kuzalisha migogoro ya ardhi. ...

 

1 month ago

Michuzi

HOTUBA YA WAZIRI WA ARDHI, NYUMBA NA MAENDELEO YA MAKAZI, MHE WILLIAM LUKUVI ALIOIWASILISHA MAPEMA LEO BUNGENI MJINI DODOMA

WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maedeleo ya Makazi, William Lukuvi akiwasilisha Bungeni hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara yake kwa mwaka wa fedha 2018/2019 ambapo ameliomba Bunge kujadili na kuopitisha kiasi cha shilingi 73,071,273,632 iloi wizara iweze kutumiza majukumu yake.

 

1 month ago

Michuzi

NAIBU SPIKA AONGOZA WABUNGE KUSAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO YA ALIYEKUWA MBUNGE WA BUYUMBU LEO BUNGENI JIJINI DODOMA

 Naibu Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson, akisaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Buyungu Marehemu Mwl. Kasuku Samson Bilago. Mwili wa Marehemu unatarajiwa kuletwa Bungeni kesho Jumanne tarehe 29 Mei, 2018 kwa ajili ya Waheshimiwa Wabunge kutoa heshima za mwisho kabla ya kusafirishwa kwenda kuzikwa kijijini kwake Kasuga, Wilayani Kakonko, Mkoani Kigoma. Awali mapema leo, Naibu Spika Dkt. Tulia Ackson aliahirisha Bunge kutokana na Msiba huo.Waziri wa Sera, Bunge,...

 

1 month ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA BUYUNGU KUAGWA KESHO BUNGENI MJINI DODOMA

 

1 month ago

Michuzi

YALIYOJIRI LEO BUNGENI JIJINI DODOMA LEO

Naibu Spika wa Bunge la  Jamhuri ya Muungano Mhe.Dkt.Tulia Ackson akitambulisha wageni wa jukwaa la Spika wakati wa kikao cha thelathini na tano cha Mkutano wa kumi na moja leo Jijini Dodoma.Rais wa Umoja wa Vijana wa Bunge la Afrika na Mbunge wa Handeni Vijijini Mhe.Mboni Mhita akitoa shukurani mbele ya Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania toka achaguliwe kuongoza umoja huo ivi karibuni nchini Afrika ya kusini ambapo atatumikia kwa muda wa miaka mitatu.Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika...

 

1 month ago

Malunde

MAWAZIRI WANNE,NDUGAI WATIFUANA VIKALI BUNGENI

 Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Paramagamba Kabudi (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Kazi, Ajira, Vijana na Watu wenye Ulemavu), Jenista Mhagama (kulia), wakijadili jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dk. Adelardus Kilagi, bungeni Dodoma jana. | Picha na John Dande***BAJETI ya Wizara ya Maliasili na Utalii, imepitishwa huku kukitokea msuguano mkali kati ya Spika wa Bunge, Job Ndugai, wabunge na mawaziri wanne waliokuwa wanajibu hoja...

 

1 month ago

Malunde

JINSI BUNGE LILIVYOLIPUKA KWA FURAHA SUGU ALIVYOINGIA BUNGENI

Mbunge wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi maarufu Sugu, ameingia bungeni kwa mara ya kwanza leo Mei 21, 2018 tangu aachiwe kwa msamaha wa Rais John Magufuli, Mei 10 mwaka huu.

Baada ya kuingia bungeni, wabunge wa upinzani walilipuka kwa furaha wakimshangilia huku wakigonga meza zao kwa takriban dakika mbili, hali iliyosimamisha shughuli za Bunge kwa muda.

Sugu ameingia ukumbini saa 3:20 asubuhi akiwa ameambatana na mbunge wa Viti Maalumu (Chadema), Kunti Yusuph ambaye alisikika akisema:...

 

1 month ago

Zanzibar 24

21MAY

Bungeni wafunguka wasichana kupelekwa nje ya nchi kufanya biashara ya ngono

Serikali imesema wajibu wake kuhakikisha Watanzania wanaopata fursa ya kufanya kazi nje ya mipaka ya Tanzania wanafanya kazi katika Mazingira mazuri na yanayolinda staha na utu wao.

Serikali imesema kama kuna wasichana wanapelekwa nje ya nchi kufanya biashara ya ngono, ikijulikana haitasita kuchukua hatua kali.

Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Dkt. Suzan Kolimba ametoa ufafanuzi huo, leo Mei 21 Bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge, Hawa Mchafu...

 

1 month ago

Zanzibar 24

21MAY

Sugu aanzisha shangwe akiwa Bungeni

Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa tiketi ya CHADEMA, ameingia Bungeni na kusalimia baadhi ya Wabunge na kibua shangwe.

Leo Mei 21 Wabunge wameshangilia mbunge huyo kwa kwa kupiga makofi kwa muda wa nusu dakika huku Mwenyekiti wa Bunge, Andrew Chenge akitaka Wabunge kuacha kupiga makofi na kipindi cha maswali na majibu kiendelee.

Mbunge Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ aliachiwa huru kutoka gereza la Ruanda, Mbeya Mei 10 alipokuwa akitumikia kifungo cha miezi mitano.

Sugu alitiwa hatiani na...

 

1 month ago

Malunde

SUGU KUTINGA BUNGENI KESHO JUMATATU

Siku 11 baada ya mbunge wa Mbeya, (Chadema) Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ kuachiwa huru, kesho Mei 21, 2018 ataingia bungeni.
Sugu ataingia bungeni kuwawakilisha wananchi wa Mbeya baada ya kulikosa bunge hilo la bajeti tangu lilipoanza Aprili mwaka huu.
Sugu amesema: “Nipo Dodoma tayari, nimekuja baada ya hali ya mama yangu kuendelea kuimarika na kesho (Mei 21,2018) nitaanza kuwawakilisha wana Mbeya walionituma.”

“Wana Mbeya walikosa mwakilishi, walikosa wa kuwasemea mambo yao, kwani...

 

1 month ago

Malunde

NDUGAI AFURAHISHWA WABUNGE KUVAA KANZU NA HIJAB BUNGENI

Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amewapongeza Wabunge kwa kuvaa Kanzu kwa wingi na kwa Wabunge wa Kike kuvaa Hijab.
Spika ametoa pongezi hizo leo, Mei 18 mapema katikati ya kipindi cha maswali na Majibu kwa serikali  ambapo pia amemsifia Naibu Spika wa Bunge kwa kuvaa Baibui na Hijab.
“Wabunge kama hatujaendelea nimefanya utafiti wangu leo watu wengi sana wamependeza kwa kuvaa Kanzu na kofia hongereni sana, tukumbuke tu kanuni tunapo vaa tunatakiwa ivaliwe...

 

Top 10 Tags Today 30-June-2018 in Tanzania

Trump

Singapore

Shuts

Seif

Meet

Marekani

Magereza

Kombe

Kim

Kaskazini

Trending Now

Zinazosomwa Sasa

Soma Habari kuu leo 

Habari za Mikoani

ArushaDar es SalaamDodomaIringaKageraKigomaKilimanjaroLindiManyaraMaraMbeyaMorogoroMtwaraMwanzaPembaPwaniRukwaRuvumaShinyangaSingidaTaboraTangaUngujaZanzibar

Used TOYOTA Cars for Sale

ABOUT TANZANIA TODAY»
Company
Advertise
Feedback

OUR SERVICES»
Company
Advertise
Feedback

TALK TO US»
Email: info@tanzaniatoday.co.tz
Privacy
Sitemap
Help

NEWSLETTER»

  


No comments:

Post a Comment