ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Monday, June 25, 2018

Dw (kiswahili)

Rais wa Eritrea Isaias Afwerke amesema atapeleka ujumbe nchini Ethiopia, kuangalia uwezekano wa kurejesha mahusiano na nchi hiyo jirani. Hii ni baada ya waziri mkuu mpya wa Ethiopia Abiy Ahmed kutangaza kukubali mapema mwezi Juni, uamuzi wa mahakama ya kimataifa kuhusu mpaka baina ya nchi hizo za Upembe wa Afrika. Papo kwa Papo.

No comments:

Post a Comment