ERASTO BLOG

MICHEZO NA BURUDANI

Recent Posts

LightBlog

Breaking

Wednesday, December 5, 2018

December 05, 2018

habari za michezo

Yanga yamalizana na vifaa vitatu

globalpublishers.co.tz

Dec 3, 2018 6:19 PM

KAMATI ya Usa­jili ya Yanga, rasmi imethibitisha kufikia uwezekano wa asil­imia 90 kuwasajili wachezaji watatu katika usajili huu wa dirisha dogo.

Hiyo, ikiwa ni siku chache tangu Yanga imshushe winga wake raia wa DR Congo, Re­uben Bomba ambaye yupo nchini kwa ajili ya kufanya mazungumzo kabla ya kum­sainisha mkataba wa kukipiga Jangwani.

Timu hiyo, tofauti na kuwa na mazungumzo na Mkongo huyo, zipo tetesi za kumsajili beki wa Lipuli FC, Ally Mtoni ‘Sonso’ na mshambuliaji wa Mbeya City, Eliud Ambokile ambaye ni kinara wa mabao katika Ligi Kuu Bara.

Akizungumza na Champi­oni Jumatatu,Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Yanga, Hussein Nyika, alisema kwa asilimia 90 mipango yao ya usajili imekamilika, hivyo wakati wowote watawasajili wachezaji hao.

“Niwatoe hofu mashabiki wa Yanga kwa kuwaambia kuwa mipango yetu ya usa­jili imekamilika kwa asilimia 90, hivyo kilichobakia ni ku­malizana na wachezaji hao aliowahitaji kocha.

“Tayari kocha ameshatu­kabidhi ripoti yake ya usa­jili akihitaji winga, beki wa kati, mshambuliaji na kiungo mmoja mkabaji ambao tayari tumewapata, kilichobakia ni kuwasajili pekee.

“Hakuna kitaka­choshindikana kwetu, licha ya uchumi wetu kuyumba, matarajio yetu ni kuona timu ikifanya vizuri ka­tika mzunguko wa kwanza baada ya kukamilisha ma­hitaji ya kocha katika usajili wetu,” alisema Nyika.

Tazama yote

Ripoti tatizo

185Chukia

COPY SUCCESS

Sunday, October 7, 2018

October 07, 2018

Magazeti ya tz leo oct 08, 2018 yapo hapa..

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania October 8 Hardnews, Udaku na Michezo

By

Erasto

on

October 8, 2018

COMMENTS

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo October 8, 2018, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

RELATED ITEMSMAGAZETI

COMMENTS

← PREVIOUS STORYMAGAZETI LIVE: Jambazi ‘handsome boy’ akamatwa, Dk. Bashiru ahesabiwa siku CCM

SOMA NA HIZI

MAGAZETI LIVE: Jambazi ‘handsome boy’ akamatwa, Dk. Bashiru ahesabiwa siku CCM

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania October 7 Hardnews, Udaku na Michezo

LIVE MAGAZETI: Mbowe, wenzake wagonga mwamba, Dk. Bashiru, Nape waliamsha dude CCM

TUPIA COMMENTS

DIWANI CHADEMA AFUNGUKA KURUSHA NGUMINI WEPESI WA MIKONO

MHADHIRI WA UDOM ALIVYONASWA LIVE AKITAKA RUSHWA YA NGONO

HOME 

NIFAHAMU WASILIANA NAMI MATANGAZO MKITO PRIVACY POLICY TERMS AND CONDITIONS

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, kaa karibu na mimi kwa kubofya hapo chini ☟

Copyright © 2018, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by erasto

Monday, September 24, 2018

September 24, 2018

Magazeti y tz leo sept 25, 2018 yapo hapa

millardayo.com

Menu

MAGAZETI

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania September 25 Hardnews, Udaku na Michezo

By

Millard Ayo

on

September 25, 2018

COMMENTS

Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam leo September 25, 2018, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.

ILI UNUNUE NA USOME GAZETI KWA NUSU BEI BONYEZA>>> HAPA 

Machalii wa Chugga wanao-trend Mtandaoni “Mwanaume Dar atakaa, ni sedere bidengere”

RELATED ITEMS

LIVE MAGAZETI

MAGAZETI

COMMENTS

← PREVIOUS STORY

LIVE MAGAZETI: Huzuni, JPM atumbua vigogo sita, Tundu Lissu ”Majaliwa, Kamwelwe wang’oke”

SOMA NA HIZI

LIVE MAGAZETI: Huzuni, JPM atumbua vigogo sita, Tundu Lissu ”Majaliwa, Kamwelwe wang’oke”

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania September 24 Hardnews, Udaku na Michezo

LIVE MAGAZETI: Ni muujiza, Mafuta yamuokoa fundi wa kivuko

TUPIA COMMENTS

LIVE: MAKONTENA YA MAKONDA YALIVYOPIGWA MNADA

VIDEO YA UWOYA YAZUA GUMZO AKIWA NA MWANAUME, WAPI DOGO JANJA

HOME

NIFAHAMU

WASILIANA NAMI

MATANGAZO

MKITO

PRIVACY POLICY

TERMS AND CONDITIONS

Kazi yangu ni kuhakikisha hupitwi, kaa karibu na mimi kwa kubofya hapo chini ☟

Copyright © 2018, Haki Zote Zimehifadhiwa. | Content by millardayo.com | Designed byidodoe.co.tz

#TAGS

TZA HABARI

BONGOFLEVANEWS

AYO TV

SOKA ULAYA

SOKA BONGO

MAGAZETI

HABARI DAILY

AYOTV

AYOTV MAGAZETI

BONGOFLEVA

VIDEO MPYA

BUNGENI

DUNIANI

RAIS MAGUFULI

MAREKANI

FACEBOOK TWITTER NA INSTA

HEKAHEKA

DIAMOND PLATNUMZ

TANZANIA NEWS

Top StoriesHabari za MastaaBreaking NewsMichezoAyoTVMagazetiBioContactMatangazoMkitoVideos Mpya